Saturday, February 28, 2015

JE , UMOJA WA MATAIFA UPO KWA KUUA WAKIMBIZI WA RWANDA AMA KULINDA MAISHA YA BINADAMU NA KUSIMAMISHA MAUWAJI AMBAO ANAENDELEA MASHARIKI MWA CONGOB


BY KAKI ORANGE

Wanyarwanda , Wakongo,Watanzania,Warundi,Waganda,Wakenya na wale wote wanaonipata kwa kutumia lugha hii ya kiswahili ulimwenguni , ningewaomba tujaribu kushirikiana kwa kutatua
matatizo au masaibu ambayo yamewapata wakimbizi wahutu waliokimbilia nchini Kongo ( Jamhuria ya Kidemokrasia ya Kongo ) mwaka wa 1994 ! Natumai hakuna asiyejua swala hili linalohusu wakimbizi wa kihutu  tangu mwaka wa 1990 ,wakati ambapo Yoweri KAGUTA MUSEVENI alipotoa amri kwa majeshi yake ili yavamie nchi jirani ya Rwanda kwa lengo la kumng'oa uongozini Rais Habyalimana Juvenal ambaye ni kutoka katika kabila la wahutu ,kwa lengo la kuweka uongozini kabila la watutsi ambao walikuwa wakiishi nchini uganda .
HIZI NI MAFAMILIA ZA WAKIMBIZI KUTOKA RWANDA AMBAO WANAISHI NCHINI DRC. KAMA VILE MNAVYO WAWONA HAWO WATOTO WANAEZA KUTOISHI KWA VILE UMOJA WA MATAIFA, US, RWANDA, NA DRC WANATAKA KUWAANGAMIZA


WACHUNGA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA
Waliweza kufikia lengo lao baada ya kuua wanyarwanda wengi kuanzia mkoa wa Byumba hadi mkoa wa Gisenyi .Baadaye majeshi hayo hayo yaliwafuata nchni Kongo kwa kushirikiana na umoja wa mataifa UN, UGANDA na KONGO yenyewe iliyowapokea kama wakimbizi kwenye ardhi yake .walifanikia kuua wahutu wengi lakini hawakuweza kufikia lengo lao lakuwamaliza kabisa .Ukitaka kujua ukweri ni kuwa hata Shirika la Wakimbizi ulimwenguni( UNCHR) nalo lilikuwa kwenye mstali wa kwanza kwa kukabithi wakimbizi, ambao walilolikimbilia , mikononi mwa waliyokuwa wakiwawinda ili wawaue ! Ulimwenguni , swala hili limekuwa donda ndugu ! Limekuwa hivyo kwa sababu wale wanaopea uwezo wakulitatua , ndiwo wenye kulichimbia kaburi ! Kwa sababu gani ? Ni kuwa MONUSCO na KONGO ndio wangekuwa kwenye mstari wa mbere kwa kuchunga maisha ya hao wakimbizi. 

HIZI NI FAMILIA ZA WA KIMBIZI KUTOKA RWANDA AMBAO UN INATAKA KUANGAMIZA
Lakini ndio wamewajeuka wakawa na tamaa ya fisi kwa kuwakabithi tena mikononi mwa muaji mkubwa aliewanzia 1990ambaye ni Paul Kagame ! Ndipo nikajiuliza eti Je,UN yipo kwa kuua au kwa kusimamisha mauaji ? Mauaji yakifanyika nchini Rwanda ,UN ilikuepo , kilichotendeka wao wenyewe walikuwa wanajua lakini kwa sababu ya kusimamia faidha ya nchi au mataifa makubwa makubwa yaliowatuma ili wawasimamie, hawakuweza kusimamisha mauaji hayo ! Muungano wa Nchi za Afrika ( AU ) uko wapi ukiona nchi ngeni zinavamia na kuua waafrika kwa kisingizio mnachopea ambacho naweza nikakiita "danganya toto ." 

VUGUVUGU LA KISIASA LA WANYARWANDA MABAPO WAKO UHAMISHONI
Je,vyama vya upinzani vnavyojidai kumpinga Paul Kagame viko wapi ? Swala la kutetea wakimbizi ,hususan wakimbizi wapatikanao nchini Kongo, si jukumu la FDLR ama FCLR-Ubumwe peke yake , bali ni la kila mnyarwanda ambaye anayeona kwamba nchini mwake kuna uongozi mbaya ! Amkeni ! kwa sababu msipofanya hivyo , sijui vyama kama vyenu vyenu vitakuja kutetea ama kuongoza maiti ! Hivi majuzi Paul Kagame kwa kushirikiana na Rais wa Kongo , Kabila walituma bataliyani mbili huko Kivu kaskazini pahali panapoitwa RUTARE wakaua mwakimbizi wa kihutu bila kuhurumia pia na wakongo wafananao na wahutu wa kutoka Rwanda. Na hivi ninavyoandika ujumbe huu , eneo za : MISHWASHWA,MIKONDO,KIZINDABO na KIRUMBA kumemwagwa manajeshi wa Kongo wakiwa wamechanganyika na wanajeshi kutoka Rwanda wote wakiwa wamekuvalia sare za jeshi la Kongo . Hawa wanajeshi wametua maeneo hayo kwa takribani ya siku tatu. 

PICHA HII INAONYESHA WA KIMBIZI WA KIHUTU NCHINI DRC WAKIZIKA WATU WAO BADA YAKUULIWA NA WANAJESHI WA UMOJA WA MATAIFA MA FARDC
Na ni maeneo kunakopatikana wakimbizi .Je, tutaendelea hivi mpaka lini ? Je, ni vyema kwa kumaliza kushiba mvinyo kwa nyama kisha tukajidai eti tunatetea wakimbizi ili hali sisi ndiwotunawowauza kwa hao mabepari ? Wengi tunashinda tukidanganya masikini wakimbizi kwa kujigamba eti watakapovamiwa , tutakuwa pamoja nao ! Wakati ni sasa , kama si sasa ni sasa hivi ! Acheni tuungane mkono ili tuwasaidie wenzetu kwa jangwa walilonalo .kumbuka kuwa leo ni yeye kesho ni wewe ! Tusitegemee mabepari kwaani wao ndio fisi mlawatu duniani kwa ajili ya utafutaji utajiri mkubwa kutoka Afrika kwa sababu gani , huwezi ukamuambia yeyote kuwa vita vinavyoendelea Nchini Kongo didi ya wakimbizi ,eti Shirika la Wakimbizi Duniani , UNHCR ,halijui kinachoendelea ! Ningependa kusema hivi , kumbukeni kuwa haya yanaajili wakati ambapo FDLR ilikuwa imeshaamua kuweka silaha chini kwa jili ya kutafuta amani ya kudumu katika nchi za waziwa makuu ya Afrika . Tujiulize , haya yameanzishwa na Paul Kagame na Kabila yatasababisha amani hayo yapatikane kweli ?
WA KINA MAMA HAWA NI WAKUTOKA UKO YA KIHUTU UKO RWANDA NA WALIKIMBILIA USALAMA WAO NCHINI DRC MYAKA 20 ILIOPITA. UMOJA WA MATAIFA YANI UN NA NCHI ZA MADOLA KAMA UK,USA,UGANDA, NA ETHIPIA ZINATAKA KUSAIDIA RWANDA KUWAANGAMIZA ILIWASIRUDI RWANDA. 

No comments:

Post a Comment