Wednesday, May 28, 2014

Waziri Membe Amlipua Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ezekiah Wenje Kwa Hutuma Za Kumtetea Raisi Paul Kagame

HE JAKAYA KIKWETE
Dodoma. Wakati Bunge likipitisha bajeti ya makadirio ya matumizi Sh191.91 bilioni ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka wa fedha 2014/15 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, alitumia nafasi hiyo ‘kumchana na kumchanua’ Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ezekiah Wenje Kwa Hutuma Za Kumtetea Raisi Paul Kagame wa Rwanda na kusema kuwa anatumiwa na mataifa ya nje sana sana taifa la Rwanda ambalo limekua likileta machafuko na janga la kibinadamu mashariki mwa nchini mwa Congo. 
Bernard Membe (@BernardMembe).
 Minister for Foreign Affairs and
International Cooperation of the
United Republic of Tanzania
Mbali na hivyo aliwaita watu wanaotoa kauli za uchonganishi kuwa ni wapumbavu na akataka waache tabia za kipumbavu kwani hawatavumiliwa hata kidogo watu ambao wanaeneza siasa Za Kumtetea Raisi Paul Kagame wa Rwanda. Hapa tuwakumbushe kwa kuwa bwana Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ezekiah Wenje ametajwa na gazeti limoja hapa Tanzania kwa kuwa anajiusisha na mambo ya magendu ya kuwuza asri mali ya kutoka nchini Congo. Ilo gazeti liliendelea kusema kwa kuwa  Waziri Kivuli Bwana  Ezekiah Wenje, anabyashara maalum nchini Rwanda ambazo zinahusika na usambazaji wa nguvu za umeme na simu za runono. Membe alitoa kauli hiyo jana jioni wakati akitoa majumuisho katika michango ya wabunge kwenye hotuba ya mapato na makadirio ya wizara hiyo kwa mwaka 2014/15. 
Wenje ambaye ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa jana asubuhi katika hotuba yake, alimshambulia Membe kuwa ni waziri mzigo ambaye hajui wajibu wake na sera zake niza nizakusaidia upinzani mwa nchini jirani ya Rwanda ili umtoe mmulakani Bwana Paul Kagame. Sakata hilo liliibuliwa kwenye uhusiano baina ya Tanzania na nchi ya Rwanda ambalo Wenje alilizungumzia zaidi kama ni mtu ambae hajari usalama wa Tanzaniya na wa Tanzaniya wote kwa ujumla. Jambo hili liliwashangaza wa Tanzania wengi kwa kuwa hawawoni ni kitu ghani ambacho kinamfanya Wenje atetewa Bwana Kagame. Hapa tuwakumbushe kwa kuwa mwaka jana wa 2013 ndipo serikali ya Tanzaniya iligundua kwa kuwa Rwanda ilikuwa na wajasusi wa Rwanda katika jeshi la Tanzania ambao wamelelewa na hata kuzaliwa nchni Tanzania lakini wazazi wawo walikua ni wa kiasri ya Rwanda kwa kabila la wa Tutsi ambao wamekuwa wakishirikiana na serikali ya Rwanda kufanya kazi ya ujasusi kuhusu serikali ya Muungano ya Tanzania. Nivizuri serikari hiyi imakinike na ichunguze zaini ni byashara ghani Waziri Kivuli ako nazo na serikari jirani la Rwanda. 
Mbunge wa Nyamagana (Chadema), Hezekiah Wenje
Akijibu hoja hizo Membe, alisema: “Kwanza nikubaliane na kauli ya wabunge wengi kuwa uhusiano wa Tanzania na Rwanda siyo mzuri kwani kila upande haumuamini mwenzake,”sana sana serikali jirani la Rwanda, aliema Membe. Alisema kinachowaumiza pande zote ni kuwa kila upande unapozungumza na mahasimu wa mwenzake, wanahisi kuwa anataka kuipindua Serikali yao hivyo bado hawajakubaliana kwa jambo lolote lakini akasema yote yatakwisha salama.“Huwezi kusimama hapa mtu na macho yakakutoka halafu unaanza kulizungumzia taifa lingine ambalo siyo lako, hivi unatoa wapi ujasiri huo au wanakulipa,”alihoji Membe na kuongeza. “..Mimi naweka rehani uwaziri wangu hapa kwamba ukileta vielelezo kamili mimi nitakuwa tayari kuachia nafasi yangu, je na wewe nikitoa vielelezo utakuwa tayari kuwajibika?.” Hapa tuwakumbushe kwa kua ni mwaka jana tu raisi wa Rwanda Bwana Kagame alisema anangojea wakati mwafaka harafu amnyoroshe raisi wetu mpendwa Jakaya Kikwete kaa vile serikari yake ya Rwanda ilivyo mnyorosha Col. Patrick Karegeya, na mwenzi ake General Kayumba Nyamwasa. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Membe alimtaja Wenje kwa jina kuwa alichokifanya hakifai kuwa alitoa kauli ambayo siyo nzuri kwa siri za taifa na akasema mtu kama huyo akipata nafasi hata kama nchi itakuwa vitani, yuko tayari kutoa siri. Aliyataja makundi ya ya M23 kuwa ni moja ya kundi ambalo linaundwa na Banyamulenge waliokuwa chini ya Roral Nkunda ambaye simu Kongomani kama vilivyo enezwa na serikali ya Rwanda. Kundi hili ambalo liliua watu wengi kwamba linaundwa na watutsi bila ya ubishi. Membe alimpongeza mbunge Alli Keissy kuwa alichokizungumza jana asubuhi kuhusu Rwanda na DRC Kongo ni sahihi na ndiyo maana alimshangilia kwa nguvu zote.Tutaendelea kuyafwatiria mambo haya sana sana Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ezekiah Wenje kuhusu madai kwa kuwa ako na Ndogo Ndogo ambazo ni wasichana wa kitutsi nyumbani mwake Dodoma ambao wametumwa na Serikali ya Rwanda ili wafanye kazi ya kiususi kuhusu wafanyakazi wa ngazi za juu wa serikali ya Muungano ya Tanzania. 
Tunataka kuwa kumbusha kwa kuwa Mheshimiwa Ezekiah Dibogo Wenje ni Mbunge wa constituency ya Nyamagana kwa chama cha CHADEMA. Duru za kuaminika ni kwa kuwa Mbunge huyu kizazi chake kinaweza kufwatiriwa kutoka Rwanda kwa Sehemu ambalo siku hizi linajulikana kama NYAMAGABE, Gikongoro. Nikama mababu zake walikuja Tanzania myaka ya zamani sana kama myaka 200 iliopita kufanya byashara na watu wakutoka Omani. Upelelezi gazeti letu lilifanya tuliambiwa kwa kuwa inawezekana Bwana Ezekiah Dibogo Wenje anatoka kabila la Wakulima nchini umo Rwanda ambalo linaweza kuwa wahutu. 

No comments:

Post a Comment