Monday, March 9, 2015

NI KWANINI RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME ALIMKATAA BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI RWANDA MHE MUSSA SIWA?


By Abdul Twahah,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Jakaya Kkwete akimuapisha Balozi mteule wa Tanzania nchini Rwanda
Bwana Ally Said Siwa kabra hajakatariwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda
Naam mwaka uliopita Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimchagua Bwana Ali Siwa ili asimamie nchi yake ya Tanzania nchini Rwanda. Lakini mambo alienda kinyongo wakati Bwana Musa alikabithia makaratasi ambao anamruhusu kuyisimamia nchi yake ya Tanzania nchini Rwanda, kisa na mana, mzozo ambao unaendelea kutogota katikati ya Rwanda na Tanzania. Tuwakumbushe wasomaji wetu kwakuwa rais uwo wa Rwanda alimuambia Mheshimiwa rais wa Tanzania Jakaya Kikwete kwa kua atamngojea wakati ufaao ili ampige kichapo ambacho Tanzania haijawahi wona. Nikwasababu hiyo kwa njia ya kisiasa chni ya Tanzania ilitaka kumtuma Bwana Ali Sawa huko Rwanda kama vile Bwana Kagame alikuwa amemtuma balozi wa Rwanda huku Tanzania. Kwa kifupi hiyi mambo iligeukia Tanzania mlama na fedheha kwa Bwana Jakaya Kikwete. Hiyo ndiyo Bwana Kagame alikuwa amepaipangia nchi ya Tanzania. 


Kama vile ililipotiwa katika magazeti mengi ya Tanzania na Rwanda, Paul Kagame alikataa kumkaribisha Balozi mteule wa Tanzania, Mussa Ali Said Siwa. Kisa na mana Rwanda haikutoa sababu lakini kuna thukuthuku kwa kuwa Rwanda ilimkataa Bwana Siwa kwa kuwa hapendi hata kamwe vile serikali ya Kagame inasumbuwa nchi jilani katika maziwa makuu. Tarifa zingine zinasema kwa kuwa huyu Mussa Siwa anatoka kizazi ambacho kina mizizi uko Rwanda na mababu zake walihamia Tanzania myaka miya moja ilopita na walikuwa wanatoka uko ya wahutu. Kwa hivo Kagame aliona kumruhusu bwana Mussa Siwa nchini Rwanda mahari ako na kizazi nikujitia kitanzi shingoni. 

Tanzania ilikuwa imemteguwa Bwana Ali Sai Mussa Siwa kwenda kufanya kazi kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda.Taarifa kutoka Rwanda na duru za ndani ya serikali ya Tanzania zilituelezea kwakuwa serikali na Rais wa nchi ya Rwanda walimkataa balozi huyo kwasababu mbalimbali zikiwemo za kiusalama. 


Habari kutoka ndani ya Ikulu ya Rwanda zinaeleza kuwa serikali ya nchi hiyo ilimkataa balozi Siwa, baada ya kumshuku kuwa ni jasusi. Hapa tuwakumbushe kwa kuwa Rwanda imekuwa ikijitayarisha kuvamia nchi ya Tanzania ili ipanuwe ile ufalume wa Kitutsi ambapo ma wa rais wa Rwanda na Uganda wamekuwa wakitaka kuunda katika sehemu ya maziwa makuu. Siwa kabla ya kuteuliwa kushika wadhifa huo, alikuwa ofisa katika ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani.

Tazania kwa sasa haina balozi nchini Rwanda tangu Dr.Marwa Matiko amalize muda wake wa kufanya kazi hiyo. Nafasi hiya kwa sasa inakaimiwa na Francis Mwaipaja,ambaye kabla ya kupelekwa Rwanda alikuwa msaidizi wa katibu mkuu kiongozi, Ombeni Sefue.

Ofisa mmoja mwandamizi wa Ikulu ya Rwanda aliliambia MTANZANIA kuwa viongozi wa nchi hiyo wanachukuwa tahadhari dhidi ya wanadiplomasia wa Tanzania wanaofanya kazi nchini Rwanda , tangu nchi hizi mbili ziingie katika vita ya maneno mwaka jana na rais wa nchi hiyo akamtishia rais Kikwete akimwambia kwa kuwa atamchapa vibaya na nchi yake hadi washangae.

Tangu wakati rais Kikwete alitangaza kwa kuwa Kagame ni razima akuwe na majadiriyano na waasi wa kihutu FDLR ambao wamekaa uhamishoni nchini Congo kwa myaka 20. Tangu Addis Abiba Viongozi wa Rwanda na Tanzania wamekuwa na hofu kubwa sana sana nchi ya Rwanda na viongozi wanahofia kwa kuwa Tanzania inasaidia wasi wa Kihutu na kufanya wawe macho na watanzania wanaoishi hapa na hasa maofisa wa ubalozi na ndio maana walimkataa balozi huyo mteule’’. Alisema Kayiranga ambae anafanya katika ikulu ya Rwanda.

Rais Kikwete akimkaribisha Balozi Mpya wa Rwanda Nchni Tanzania Bwana Eugene Segore
Wafuatiliaji wa maswala ya kidiplomasia wametafsiri kitendo hicho kuwa ni mwendelezo wa kutofautiana kati ya serikali za nchi hizi mbili. Washiriki wetu inafaa wajuwe kwa kuwa Rwanda inaendelea kuwa na wazili nchini Tanzania Bwana Eugene Segore. 

Kama vile tulivyo waelezea mwanzoni, Rwanda iliingia katika mgogoro na Tanzania baada ya kuchukizwa na ushauri uliotolewa na Raisi Jakaya Kikwete wa kuitaka serikali ya nchi hiyo kufanya mazungumzo na kundi la waasi la FDLR, ambalo liko ndani ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Rais kikwete alitoa ushauri huo mbele ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Kin-Moon na Raisi wa Umoja wa Afrika, Nkosazana Dlamini-Zuma, wakati wa mkutano wa viongozi wa ukanda wa maziwa makuu ya afrika uliofanyika mjini Addis Abab, Ethiopia, Mei, mwaka jana.

Ushauri huo ulipokelewa vibaya na Rais Kagame na waziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi hiyo, Louise, Mushikiwabo, ambao walitoa kauli za kumdhalilisha Rais Kikwete.


Katika siku za hivi karibuni uhusiano baina ya Tanzania na Rwanda umeonekana kusuasua na hata viongozi wa nchi hizi mbili wamekuwa wakidaiwa kukwepana katika hafla mbalimbali zinazohusu nchi zao pamoja na zile za jumuiya ya Africa mashariki(EAC).

Wiki mbili zilizopita, Rais kagame alikacha kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na zanzibar zilizofanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na marais wote wanachama wa ( EAC).

Mbali na Kagame kutokuhudhuria maadhimisho hayo, pia aliukacha mkutano wa wakuu wa nchi za EAC uliofanyika jijini Arusha, lakini alikwenda nchini Kenya na kuhudhuria kikao cha viongozi wa nchi za Afrika Mashariki wanaounganishwa na mradi unaoitwa ‘ Northern Corridor Infrastructure Project’. Waziri Mkuu Pinda aliiwakilisha Tanzania katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment